Psalms 38:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimelegea na kupondekapondeka; nasononeka kwa kusongwa moyoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimedhoofika na kupondwa kabisa, nasononeka kwa maumivu makuu ya moyoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimedhoofika na kuchubuka sana, Nimeugua kwa fadhaa ya moyo wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimelegea na kupondekapondeka; nasononeka kwa kusongwa moyoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimedhoofika na kupondwa kabisa, nasononeka kwa maumivu makuu ya moyoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimedhoofika na kupondwa kabisa, nasononeka kwa maumivu makuu ya moyoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimedhoofika na kupondeka sana, Nimeugua kwa fadhaa ya moyo wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimelegea na kupondekapondeka; nasononeka kwa kusongwa moyoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimegeuka kuwa mwembamba kwa kupondeka sanasana, moyo ukizidi kunipiga mno, ninalia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimedhoofika na kuchubuka sana, Nimeugua kwa fadhaa ya moyo wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Viungo vyangu vimeshambuliwa na homa; hakuna uzima katika mwili wangu.