Psalms 38:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Bwana, wewe wajua tazamio langu lote; kwako hakikufichika kilio changu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana, yote ninayoyaonea shauku yako wazi mbele zako, kutamani kwangu sana hakufichiki mbele zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, haja zangu zote ziko mbele zako, Kuugua kwangu hakukusitirika kwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Bwana, wewe wajua tazamio langu lote; kwako hakikufichika kilio changu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, yote ninayoyaonea shauku yako wazi mbele zako, kutamani kwangu sana hakufichiki mbele zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, yote ninayoyaonea shauku yako wazi mbele zako, kutamani kwangu sana hakufichiki mbele zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana, haja zangu zote ziko mbele zako, Kuugua kwangu hakukusitirika kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Bwana, wewe wajua tazamio langu lote; kwako hakikufichika kilio changu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, unayajua yote, niyatakayo, hata ninavyopiga kite, havikujificha kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana, haja zangu zote ziko mbele zako, Kuugua kwangu hakukusitirika kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimeregea na kupondekanapondekana; ninaugua kwa kusongwa katika moyo.