Psalms 39:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unapomwadhibu mtu dhambi zake kwa kumkemea, unaharibu kama nondo kile akipendacho. Hakika, kila binadamu ni kama pumzi tu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unakemea na kuadhibu wanadamu kwa ajili ya dhambi zao; unaharibu utajiri wao kama nondo aharibuvyo: kila mwanadamu ni kama pumzi tu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukimrudi mtu kwa kumkemea kwa uovu wake, Watowesha uzuri wake kama nondo. Kila mwanadamu ni ubatili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unapomwadhibu mtu dhambi zake kwa kumkemea, unaharibu kama nondo kile akipendacho. Hakika, kila binadamu ni kama pumzi tu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unakemea na kuadhibu wanadamu kwa ajili ya dhambi zao; unaharibu utajiri wao kama nondo aharibuvyo: kila mwanadamu ni kama pumzi tu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unakemea na kuadhibu wanadamu kwa ajili ya dhambi zao; unaharibu utajiri wao kama nondo aharibuvyo: kila mwanadamu ni kama pumzi tu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukimrudi mtu kwa kumkemea kwa uovu wake, Watowesha uzuri wake kama nondo. Kila mwanadamu ni ubatili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unapomwadhibu mtu dhambi zake kwa kumkemea, unaharibu kama nondo kile akipendacho. Hakika, kila binadamu ni kama pumzi tu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukimtisha mtu na kumchapua kwa ajili ya manza, unautowesha uzuri wake, kama nondo anavyofanya. Kweli kila mtu aliopo ni mvuke tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukimrudi mtu kwa kumkemea kwa uovu wake, Watowesha uzuri wake kama nondo. Kila mwanadamu ni ubatili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiniazibu tena; ninamalizika kwa mapigo yako.