Psalms 39:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uache kunitazama nipate kufurahi kidogo, kabla sijaaga dunia, na kutoweka kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama mbali nami, ili niweze kufurahi tena kabla sijaondoka na nisiwepo tena.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uniachilie nikunjuke uso, Kabla sijaondoka nisiwepo tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uache kunitazama nipate kufurahi kidogo, kabla sijaaga dunia, na kutoweka kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama mbali nami, ili niweze kufurahi tena kabla sijaondoka na nisiwepo tena.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama mbali nami, ili niweze kufurahi tena kabla sijaondoka na nisiwepo tena.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uache kunitazama, ndio nipate kufurahi tena, Kabla sijafa na kutoweka kabisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uache kunitazama nipate kufurahi kidogo, kabla sijaaga dunia, na kutoweka kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Fumba macho, yasinione, uso uning'ae, nikingali sijaenda bado, nisiwepo tena!*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uniachilie nikunjuke uso, Kabla sijaondoka nisiwepo tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usikie maombi yangu, ee Yawe, usikilize kilio changu, usikae kimya ninapolia. Maana, mimi ni kama mugeni tu anayepita, ni musafiri kama vile babu zangu wote walivyokuwa.