Psalms 39:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilikuwa kama bubu, bila kusema kitu, nilinyamaza lakini sikupata nafuu. Mateso yangu yalizidi kuwa makali,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini niliponyamaza na kutulia, hata pasipo kusema lolote jema, uchungu wangu uliongezeka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalikuwa sisemi, nalinyamaa kimya, Sina faraja, maumivu yangu yakazidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilikuwa kama bubu, bila kusema kitu, nilinyamaza lakini sikupata nafuu. Mateso yangu yalizidi kuwa makali,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini niliponyamaza kimya na kutulia, hata pasipo kusema lo lote jema, uchungu wangu uliongezeka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini niliponyamaza kimya na kutulia, hata pasipo kusema lolote jema, uchungu wangu uliongezeka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilikuwa sisemi, nilinyamaa kimya, Sina faraja, maumivu yangu yakazidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilikuwa kama bubu, bila kusema kitu, nilinyamaza lakini sikupata nafuu. Mateso yangu yalizidi kuwa makali,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikanyamaza kimya, sikusema neno; lakini hakuna chema, nilichokiona, maumivu yakazidi kunila.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalikuwa sisemi, nalinyamaa kimya, Sina faraja, maumivu yangu yakazidi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilisema: “Nitayachunga maisha yangu, kusudi nisitende zambi kwa usemi wangu. Nitafunga midomo yangu waovu wanapokuwa karibu nami.”