Psalms 39:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mahangaiko yangu yakaniunguza moyoni. Kadiri nilivyowaza ndivyo nilivyotaabika, kisha maneno haya yakanitoka:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moyo wangu ulipata moto ndani yangu, nilipotafakari, moto uliwaka, ndipo nikasema kwa ulimi wangu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moyo wangu ukawa moto ndani yangu, Na katika kuwaza kwangu moto ukawaka; Nalisema kwa ulimi wangu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mahangaiko yangu yakaniunguza moyoni. Kadiri nilivyowaza ndivyo nilivyotaabika, kisha maneno haya yakanitoka:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moyo wangu ulipata moto ndani yangu, nilipotafakari, moto uliwaka, ndipo nikasema kwa ulimi wangu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moyo wangu ulipata moto ndani yangu, nilipotafakari, moto uliwaka, ndipo nikasema kwa ulimi wangu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moyo wangu ukawa moto ndani yangu, Na katika kuwaza kwangu moto ukawaka; Nilisema kwa ulimi wangu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mahangaiko yangu yakaniunguza moyoni. Kadiri nilivyowaza ndivyo nilivyotaabika, kisha maneno haya yakanitoka:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moto ukauchoma moyo wangu kifuani mwangu, nao huo moto ukawaka na nguvu, nilipoyawaza hayo; ndipo, nilipoufungua ulimi, na useme:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moyo wangu ukawa moto ndani yangu, Na katika kuwaza kwangu moto ukawaka; Nalisema kwa ulimi wangu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilikuwa kama bubu, bila kusema kitu, nilinyamaza lakini sikupata faida. Mateso yangu yalizidi kuwa makali,