Psalms 39:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ee Mwenyezi-Mungu, unijulishe mwisho wangu, siku zangu za kuishi zimenibakia ngapi, nijue yapitavyo kasi maisha yangu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ee Mwenyezi Mungu, nijulishe mwisho wa maisha yangu na hesabu ya siku zangu; nijalie kujua jinsi maisha yangu yanavyopita upesi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, unijulishe mwisho wangu, Na kiasi cha siku zangu ni kiasi gani; Nijue jinsi nilivyo dhaifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ee Mwenyezi-Mungu, unijulishe mwisho wangu, siku zangu za kuishi zimenibakia ngapi, nijue yapitavyo kasi maisha yangu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ee BWANA, nijulishe mwisho wa maisha yangu na hesabu ya siku zangu; nijalie kujua jinsi maisha yangu yanavyopita upesi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ee bwana, nijulishe mwisho wa maisha yangu na hesabu ya siku zangu; nijalie kujua jinsi maisha yangu yanavyopita upesi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, unijulishe mwisho wangu, Na idadi ya siku zangu ni ngapi; Nijue jinsi maisha yangu yalivyo mafupi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ee Mwenyezi-Mungu, unijulishe mwisho wangu, siku zangu za kuishi zimenibakia ngapi, nijue yapitavyo kasi maisha yangu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Bwana, nijulishe mwisho utakaonipata! Niujue nao mpaka wa siku zangu, ziliokatiwa! Tena ni mbali gani kuufikia! Ya kuwa mimi ni mpitaji tu, na niyajue!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, unijulishe mwisho wangu, Na kiasi cha siku zangu ni kiasi gani; Nijue jinsi nilivyo dhaifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mahangaiko yangu yakaniunguza katika moyo. Kadiri nilivyowaza ndivyo nilivyotaabika, kisha maneno haya yakanitoka: