Psalms 39:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli, kila mtu anapita kama kivuli; jitihada zake zote ni bure tu; anakusanya mali, asijue atakayeipata!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika kila binadamu ni kama njozi aendapo huku na huko: hujishughulisha na mengi, lakini ni ubatili; anakusanya mali nyingi, wala hajui ni nani atakayejifaidi nayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Binadamu huenda tu huko na huko kama kivuli; Hufanya ghasia tu kwa ajili ya ubatili; Huweka akiba wala hajui ni nani atakayeichukua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli, kila mtu anapita kama kivuli; jitihada zake zote ni bure tu; anakusanya mali, asijue atakayeipata!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika kila binadamu ni kama njozi aendapo huku na huko: hujishughulisha na mengi lakini ni ubatili; anakusanya mali nyingi, wala hajui ni nani atakayeifaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika kila binadamu ni kama njozi aendapo huku na huko: hujishughulisha na mengi lakini ni ubatili; anakusanya mali nyingi, wala hajui ni nani atakayeifaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kweli, binadamu wote hupita kama kivuli; Wao hujisumbua bure tu; Wanajirundikia mali wala hawajui ni nani atakayeirithi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli, kila mtu anapita kama kivuli; jitihada zake zote ni bure tu; anakusanya mali, asijue atakayeipata!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu hujiendea kama kivuli, mambo ya ovyoovyo huyapigia makelele, hamjui atakayezipata mali zake, lakini huzilimbika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Binadamu huenda tu huko na huko kama kivuli; Hufanya ghasia tu kwa ajili ya ubatili; Huweka akiba wala hajui ni nani atakayeichukua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kumbe umenipimia maisha mafupi sana! Maisha yangu si kitu mbele yako. Hakika, kila mwanadamu ni kama pumzi tu!