Psalms 39:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uniokoe katika makosa yangu yote; usikubali wapumbavu wanidhihaki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niokoe kutoka makosa yangu yote, usinifanye kuwa dhihaka ya wapumbavu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uniokoe na maasi yangu yote, Usinifanye laumu ya mpumbavu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uniokoe katika makosa yangu yote; usikubali wapumbavu wanidhihaki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niokoe kutoka kwenye makosa yangu yote, usinifanye kuwa dhihaka ya wapumbavu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niokoe kutoka kwenye makosa yangu yote, usinifanye kuwa dhihaka ya wapumbavu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uniokoe kutoka kwenye maasi yangu yote, Usinifanye niwe wa kulaumiwa na mpumbavu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uniokoe katika makosa yangu yote; usikubali wapumbavu wanidhihaki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mapotovu yangu yote niopoe, lakini usinitoe kuwa wa kusimangwa nao wapumbavu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uniokoe na maasi yangu yote, Usinifanye laumu ya mpumbavu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na sasa, ee Bwana, ninatazamia nini? Tumaini langu ni kwako wewe!