Psalms 39:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niko kama bubu, sisemi kitu, kwani wewe ndiwe uliyetenda hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilinyamaza, sikufumbua kinywa changu, kwa sababu wewe ndiwe uliyetenda hili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimenyamaza, sitafumbua kinywa changu, Maana Wewe ndiwe uliyeyafanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niko kama bubu, sisemi kitu, kwani wewe ndiwe uliyetenda hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilinyamaza kimya, sikufumbua kinywa changu, kwa sababu wewe ndiwe uliyetenda hili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilinyamaza kimya, sikufumbua kinywa changu, kwa sababu wewe ndiwe uliyetenda hili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimenyamaza, sifumbui kinywa changu, Maana Wewe ndiwe uliyeyafanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niko kama bubu, sisemi kitu, kwani wewe ndiwe uliyetenda hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitanyamaza tu, nisikifumbue kinywa changu, kwani wewe ndiwe uliyeyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimenyamaza, sitafumbua kinywa changu, Maana Wewe ndiwe uliyeyafanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uniokoe katika makosa yangu yote; usikubali wapumbafu wanichekelee.