Psalms 4:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Zaburi ya Daudi) Ee Mungu mtetezi wa haki yangu, unijibu niombapo. Nilipokuwa katika shida, wewe ulinisaidia; unionee huruma na kusikia sala yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nijibu nikuitapo, Ee Mungu wangu mwenye haki! Nipumzishe katika shida zangu; nirehemu, usikie ombi langu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu wa haki yangu, uniitikie niitapo; Umenifanyizia nafasi wakati wa shida; Unifadhili na kuisikia sala yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu mtetezi wa haki yangu, unijibu niombapo. Nilipokuwa katika shida, wewe ulinisaidia; unionee huruma na kusikia sala yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Kwa Ala Za Nyuzi Za Muziki. Zaburi Ya Daudi) Unijibu nikuitapo, Ee Mungu wangu mwenye haki! Unipumzishe katika shida zangu, nirehemu, usikie ombi langu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nijibu nikuitapo, Ee Mungu wangu mwenye haki! Nipumzishe katika shida zangu; nirehemu, usikie ombi langu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu wa haki yangu, uniitikie niitapo; Uliniokoa nilipokuwa katika shida; Unifadhili na kuisikia sala yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu mtetezi wa haki yangu, unijibu niombapo. Nilipokuwa katika shida, wewe ulinisaidia; unionee huruma na kusikia sala yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninapokulilia, niitikie, Mungu unipaye wongofu! Hunipatia mahali pakubwa, nikiwa nimesongwa; sasa nihurumie na kuyasikia maombo yangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu wa haki yangu, uniitikie niitapo; Umenifanyizia nafasi wakati wa shida; Unifadhili na kuisikia sala yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji: kwa vyombo vyenye nyuzi. Zaburi ya Daudi.