Psalms 4:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jamani, mtaniharibia jina langu mpaka lini? Mpaka lini mtapenda upuuzi na kusema uongo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Enyi watu, mtabadilisha utukufu wangu kuwa aibu hadi lini? Mtapenda udanganyifu na kufuata miungu ya uongo hadi lini?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi wanadamu, hata lini utukufu wangu utafedheheka? Je! Mtapenda ubatili na kutafuta uongo?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jamani, mtaniharibia jina langu mpaka lini? Mpaka lini mtapenda upuuzi na kusema uongo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Enyi watu, mtabadilisha utukufu wangu kuwa aibu mpaka lini? Mtapenda udanganyifu na kufuata miungu ya uongo mpaka lini?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Enyi watu, mtabadilisha utukufu wangu kuwa aibu mpaka lini? Mtapenda udanganyifu na kufuata miungu ya uongo mpaka lini?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi wanadamu, hadi lini utukufu wangu utafedheheka? Je! Mtapenda ubatili na kutafuta uongo hadi lini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jamani, mtaniharibia jina langu mpaka lini? Mpaka lini mtapenda upuuzi na kusema uongo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi wana wa watu mpendao mambo ya bure, mpaka lini mwanitia soni na kuninyima heshima, mpaka lini mtayanyatia yaliyo uwongo tu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi wanadamu, hata lini utukufu wangu utafedheheka? Je! Mtapenda ubatili na kutafuta uongo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, muteteaji wa haki yangu, unijibu ninapoomba. Nilipokuwa katika shida, wewe ulinisaidia; unionee huruma na kusikia maombi yangu.