Psalms 4:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jueni kuwa Mwenyezi-Mungu amejiteulia mwaminifu wake. Mwenyezi-Mungu husikia kila ninapomwomba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fahamuni hakika kwamba Mwenyezi Mungu amewatenga wale wamchao kwa ajili yake; Mwenyezi Mungu atanisikia nimwitapo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali jueni ya kuwa Bwana amejiteulia mtauwa; Bwana atasikia nimwitapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jueni kuwa Mwenyezi-Mungu amejiteulia mwaminifu wake. Mwenyezi-Mungu husikia kila ninapomwomba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fahamuni hakika kwamba BWANA amewatenga wale wamchao kwa ajili yake; BWANA atanisikia nimwitapo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fahamuni hakika kwamba bwana amewatenga wale wamchao kwa ajili yake; bwana atanisikia nimwitapo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali jueni ya kuwa BWANA amejiteulia mtauwa; BWANA husikia nimwitapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jueni kuwa Mwenyezi-Mungu amejiteulia mwaminifu wake. Mwenyezi-Mungu husikia kila ninapomwomba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini tambueni, ya kuwa Bwana humkuza amchaye! Bwana hunisikia, kila ninapomlilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali jueni ya kuwa BWANA amejiteulia mtauwa; BWANA atasikia nimwitapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi watu, mpaka wakati gani mutachafua jina langu? Mpaka wakati gani mutapendelea mambo ya ovyo na kusema uongo?