Psalms 4:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Toeni tambiko zilizo sawa, na kumtumainia Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Toeni dhabihu zilizo haki; mtegemeeni Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Toeni dhabihu za haki, Na kumtumaini Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Toeni tambiko zilizo sawa, na kumtumainia Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Toeni dhabihu iliyo sahihi na mumtegemee BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Toeni dhabihu zilizo haki; mtegemeeni bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Toeni dhabihu za haki, Na kumtumaini BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Toeni tambiko zilizo sawa, na kumtumainia Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tambikeni na kutoa vipaji vya tambiko vyenye wongofu, nanyi mpate kumwegemea aliye Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Toeni dhabihu za haki, Na kumtumaini BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukasirike lakini musitende zambi. Mufikiri katika vitanda vyenu na kunyamaza.