Psalms 4:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wengi husema: “Laiti tungepata tena fanaka! Utuangalie kwa wema, ee Mwenyezi-Mungu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye kutuonesha jema lolote?” Ee Mwenyezi Mungu, tuangazie nuru ya uso wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wengi husema, Nani atakayetuonyesha mema? Bwana, utuinulie nuru ya uso wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wengi husema: “Laiti tungepata tena fanaka! Utuangalie kwa wema, ee Mwenyezi-Mungu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye kutuonyesha jema lo lote?” Ee BWANA, utuangazie nuru ya uso wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye kutuonyesha jema lolote?” Ee bwana, tuangazie nuru ya uso wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wengi husema, Nani atakayetuonesha mema? BWANA, utuinulie nuru ya uso wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wengi husema: “Laiti tungepata tena fanaka! Utuangalie kwa wema, ee Mwenyezi-Mungu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wako wengi wanaosema kwamba: Yuko nani atakayetuonyesha kilicho chema? Bwana, utokeze mwanga wa uso wako, uwe juu yetu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wengi husema, Nani atakayetuonyesha mema? BWANA, utuinulie nuru ya uso wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutoe sadaka zinazokuwa sawa, na kumutumainia Yawe.