Psalms 4:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi umenijalia furaha kubwa moyoni, kuliko ya hao walio na divai na ngano kwa wingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe umejaza moyo wangu kwa furaha kubwa kuliko watu waliopata nafaka na divai kwa wingi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umenitia furaha moyoni mwangu, Kupita yao wanapozidishiwa nafaka na divai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi umenijalia furaha kubwa moyoni, kuliko ya hao walio na divai na ngano kwa wingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe umejaza moyo wangu kwa furaha kubwa kuliko watu waliopata ngano na divai kwa wingi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe umejaza moyo wangu kwa furaha kubwa kuliko watu waliopata nafaka na divai kwa wingi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umenitia furaha moyoni mwangu, Kupita yao wanapozidishiwa nafaka na divai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi umenijalia furaha kubwa moyoni, kuliko ya hao walio na divai na ngano kwa wingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umenipa furaha moyoni mwangu ipitayo yao ya kufurikiwa na vyakula na vinywaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umenitia furaha moyoni mwangu, Kupita yao wanapozidishiwa nafaka na divai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wengi wanasema: “Heri tungefanikiwa tena! Ee Yawe, utuangalie kwa wema!”