Psalms 4:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nalala na kupata usingizi kwa amani; ee Mwenyezi-Mungu, wewe peke yako waniweka salama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitajilaza chini na kulala kwa amani, kwa kuwa wewe peke yako, Ee Mwenyezi Mungu, waniwezesha kukaa kwa salama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara, Maana Wewe, Bwana, peke yako, Ndiwe unijaliaye kukaa salama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nalala na kupata usingizi kwa amani; ee Mwenyezi-Mungu, wewe peke yako waniweka salama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitajilaza chini na kulala kwa amani, kwa kuwa wewe peke yako, Ee BWANA, waniwezesha kukaa kwa salama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitajilaza chini na kulala kwa amani, kwa kuwa wewe peke yako, Ee bwana, waniwezesha kukaa kwa salama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara, Maana Wewe, BWANA, peke yako, Ndiwe unijaliaye kukaa salama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nalala na kupata usingizi kwa amani; ee Mwenyezi-Mungu, wewe peke yako waniweka salama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo nitalala usingizi na kutengemana pia, kwani wewe ndiwe Bwana peke yako, unanipatia makao yasiyoshindika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara, Maana Wewe, BWANA, peke yako, Ndiwe unijaliaye kukaa salama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi umenijalia furaha kubwa ndani ya moyo, kuliko ya hao wanaokuwa na divai na ngano kwa wingi.