Psalms 40:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) Nilimngojea Mwenyezi-Mungu kwa uvumilivu, akanielekea na kukisikia kilio changu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilimngoja Mwenyezi Mungu kwa saburi, naye akanijia na kusikia kilio changu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalimngoja Bwana kwa saburi, Akaniinamia akakisikia kilio changu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilimngojea Mwenyezi-Mungu kwa uvumilivu, akanielekea na kukisikia kilio changu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi) Nilimngoja BWANA kwa saburi, naye akaniinamia akasikia kilio changu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilimngoja bwana kwa saburi, naye akaniinamia, akasikia kilio changu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilimngoja BWANA kwa subira, Akaniinamia na kusikia kilio changu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilimngojea Mwenyezi-Mungu kwa uvumilivu, akanielekea na kukisikia kilio changu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimekuwa nimemngojea yeye Bwana, naye akaniinamia, akakisikiliza kilio changu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalimngoja BWANA kwa saburi, Akaniinamia akakisikia kilio changu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi ya Daudi.