Psalms 40:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikuuficha moyoni mwangu ukombozi ulionijalia, nimetangaza daima kuwa wewe ni mwokozi mwaminifu; sikulificha kusanyiko kubwa la watu fadhili zako na uaminifu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikuficha haki yako moyoni mwangu; ninasema juu ya uaminifu wako na wokovu wako. Sikuficha upendo wako na kweli yako mbele ya kusanyiko kubwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikusitiri haki yako moyoni mwangu; Nimetangaza uaminifu wako na wokovu wako. Sikuficha fadhili zako wala kweli yako Katika kusanyiko kubwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikuuficha moyoni mwangu ukombozi ulionijalia, nimetangaza daima kuwa wewe ni mwokozi mwaminifu; sikulificha kusanyiko kubwa la watu fadhili zako na uaminifu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikuficha haki yako moyoni mwangu; ninasema juu ya uaminifu wako na wokovu wako. Sikuficha upendo wako na kweli yako mbele ya kusanyiko kubwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikuficha haki yako moyoni mwangu; ninasema juu ya uaminifu wako na wokovu wako. Sikuficha upendo wako na kweli yako mbele ya kusanyiko kubwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikusitiri haki yako moyoni mwangu; Nimetangaza uaminifu wako na wokovu wako. Sikuficha fadhili zako wala kweli yako Katika kusanyiko kubwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikuuficha moyoni mwangu ukombozi ulionijalia, nimetangaza daima kuwa wewe ni mwokozi mwaminifu; sikulificha kusanyiko kubwa la watu fadhili zako na uaminifu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wongofu wako sikuufunika ndani moyoni mwangu, ila welekevu wako na wokovu wako nikausimulia, wala sikuuficha wema wako na ukweli wako, wengi walipokusanyika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikusitiri haki yako moyoni mwangu; Nimetangaza uaminifu wako na wokovu wako. Sikuficha fadhili zako wala kweli yako Katika kusanyiko kubwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimesimulia habari njema ya ukombozi, mbele ya kusanyiko kubwa la watu. Kama unavyojua, ee Yawe, mimi sikujizuia kuitangaza.