Psalms 40:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, usininyime huruma yako! Fadhili zako na uaminifu wako vinihifadhi daima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, usinizuilie huruma zako, upendo wako na kweli yako daima vinilinde.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe, Bwana, usinizuilie rehema zako, Fadhili zako na kweli yako na zinihifadhi daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, usininyime huruma yako! Fadhili zako na uaminifu wako vinihifadhi daima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, usizuilie huruma zako, upendo wako na kweli yako daima vinilinde.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, usizuilie huruma zako, upendo wako na kweli yako daima vinilinde.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe, BWANA, usinizuilie rehema zako, Fadhili zako na kweli yako na zinihifadhi daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, usininyime huruma yako! Fadhili zako na uaminifu wako vinihifadhi daima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huruma zako, wewe Bwana, usininyime, wema wako na ukweli wako unilinde siku zote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe, BWANA, usinizuilie rehema zako, Fadhili zako na kweli yako na zinihifadhi daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikuficha katika moyo wangu ukombozi ulionijalia. Nimetangaza siku zote kwamba wewe ni mwokozi mwaminifu. Sikuficha kusanyiko kubwa la watu wema wako na uaminifu wako.