Psalms 40:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upende ee Mwenyezi-Mungu kuniokoa; ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, uwe radhi kuniokoa; Ee Mwenyezi Mungu, njoo hima unisaidie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, uwe radhi kuniokoa, Ee Bwana, unisaidie hima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upende ee Mwenyezi-Mungu kuniokoa; ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, uwe radhi kuniokoa, Ee BWANA, njoo hima unisaidie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, uwe radhi kuniokoa; Ee bwana, njoo hima unisaidie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, uwe radhi kuniokoa, Ee BWANA, unisaidie hima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upende ee Mwenyezi-Mungu kuniokoa; ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na vikupendeze, Bwana, kuniopoa! Bwana, piga mbio, unisaidie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, uwe radhi kuniokoa, Ee BWANA, unisaidie hima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hatari zisizohesabika zinanizunguka, maovu yangu yananisonga hata siwezi kuona; ni mengi kuliko nywele zangu, nami nimevunjika moyo.