Psalms 40:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao wanaonisimanga, na wapumbazike kwa kushindwa kwao!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wanaoniambia, “Aha! Aha!” wafadhaishwe na iwe aibu yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakae hali ya ukiwa, na iwe aibu yao, Wanaoniambia, Ewe! Ewe!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao wanaonisimanga, na wapumbazike kwa kushindwa kwao!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale waniambiao, “Aha!” wafadhaishwe na iwe aibu yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale waniambiao, “Aha! Aha!” wafadhaishwe na iwe aibu yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wafadhaike kwa aibu yao, Wanaoniambia Ewe! Ewe!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao wanaonisimanga, na wapumbazike kwa kushindwa kwao!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti waustukie ukiwa wao na kuona soni wale walioniambia: Weye! Weye!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakae hali ya ukiwa, na iwe aibu yao, Wanaoniambia, Ewe! Ewe!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote wanaokusudia kuniangamiza, wafezeheke pamoja! Hao wanaotamani niumie, warudi nyuma na kuzarauliwa!