Psalms 40:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi ni maskini na fukara, ee Bwana; lakini ee Bwana wewe wanikumbuka. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu; uje, ee Mungu wangu, usikawie!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mimi bado ni maskini na mhitaji; Bwana na anifikirie. Wewe ndiwe msaada wangu na Mwokozi wangu; Ee Mungu wangu, usikawie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami ni maskini na mhitaji, Bwana atanitunza. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee Mungu wangu, usikawie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi ni maskini na fukara, ee Bwana; lakini ee Bwana wewe wanikumbuka. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu; uje, ee Mungu wangu, usikawie!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini bado mimi ni maskini na mhitaji; Bwana na anifikirie. Wewe ni msaada wangu na Mwokozi wangu; Ee Mungu wangu, usikawie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini bado mimi ni maskini na mhitaji; Bwana na anifikirie. Wewe ndiwe msaada wangu na Mwokozi wangu; Ee Mungu wangu, usikawie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami ni maskini na mhitaji, Bwana atanitunza. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee Mungu wangu, usikawie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi ni maskini na fukara, ee Bwana; lakini ee Bwana wewe wanikumbuka. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu; uje, ee Mungu wangu, usikawie!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo, niwe mnyonge na mkiwa, Bwana hunikumbuka; msaada wangu na mwokozi wangu ndiwe wewe, Bwana; Mungu wangu, usinikawilie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami ni maskini na mhitaji, Bwana atanitunza. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee Mungu wangu, usikawie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wanaokutafuta wafurahi na kushangilia. Wanaopenda uwaokoe waseme siku zote: “Yawe ni mukubwa!”