Psalms 40:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliniondoa katika shimo la hatari, alinitoa katika matope ya dimbwi, akanisimamisha salama juu ya mwamba, na kuziimarisha hatua zangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akanipandisha kutoka shimo la uharibifu, kutoka matope na utelezi; akaiweka miguu yangu juu ya mwamba na kunipa mahali imara pa kusimama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akanipandisha toka shimo la uharibifu, Toka udongo wa utelezi; Akaisimamisha miguu yangu mwambani, Akaziimarisha hatua zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliniondoa katika shimo la hatari, alinitoa katika matope ya dimbwi, akanisimamisha salama juu ya mwamba, na kuziimarisha hatua zangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akanipandisha kutoka shimo la uharibifu, kutoka katika matope na utelezi; akaiweka miguu yangu juu ya mwamba na kunipa mahali imara pa kusimama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akanipandisha kutoka shimo la uharibifu, kutoka matope na utelezi; akaiweka miguu yangu juu ya mwamba na kunipa mahali imara pa kusimama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akanipandisha toka shimo la uharibifu, Toka udongo wa utelezi; Akaisimamisha miguu yangu mwambani, Akaziimarisha hatua zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliniondoa katika shimo la hatari, alinitoa katika matope ya dimbwi, akanisimamisha salama juu ya mwamba, na kuziimarisha hatua zangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akanitoa katika mwina uangamizao, nako kwenye matope yazamishayo, akaisimamisha miguu yangu juu mwambani, nao mwendo wangu akaushupaza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akanipandisha toka shimo la uharibifu, Toka udongo wa utelezi; Akaisimamisha miguu yangu mwambani, Akaziimarisha hatua zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilimungojea Yawe kwa uvumilivu, akanielekea na kusikia kilio changu.