Psalms 40:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo niliposema: “Niko tayari; ninayotakiwa kufanya yameandikwa katika kitabu cha sheria;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo niliposema, “Mimi hapa, nimekuja: imeandikwa kunihusu katika kitabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo niliposema, Tazama nimekuja, (Katika gombo la chuo nimeandikiwa,)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo niliposema: “Niko tayari; ninayotakiwa kufanya yameandikwa katika kitabu cha sheria;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo niliposema, “Mimi hapa, nimekuja: imeandikwa kuhusu mimi katika gombo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo niliposema, “Mimi hapa, nimekuja: imeandikwa kunihusu katika kitabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo niliposema, Tazama nimekuja, (Katika gombo la kitabu nimeandikiwa,)
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo niliposema: “Niko tayari; ninayotakiwa kufanya yameandikwa katika kitabu cha sheria;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, niliposema: tazama, ninakuja! Mambo yangu yamekwisha kuandikwa katika kitabu cha kuzingwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo niliposema, Tazama nimekuja, (Katika gombo la chuo nimeandikiwa,)
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe hautaki sadaka za kuteketezwa kwa moto wala matoleo, sadaka za nyama za kuteketezwa wala za kusamehewa zambi, lakini umenipa masikio nikusikie.