Psalms 40:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kutimiza matakwa yako, ee Mungu wangu ni furaha yangu, sheria yako naishika kwa moyo wangu wote!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu wangu, natamani kuyafanya mapenzi yako; sheria yako iko ndani ya moyo wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu; Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kutimiza matakwa yako, ee Mungu wangu ni furaha yangu, sheria yako naishika kwa moyo wangu wote!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu wangu, natamani kufanya mapenzi yako; sheria yako iko ndani ya moyo wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu wangu, natamani kuyafanya mapenzi yako; sheria yako iko ndani ya moyo wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu; Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kutimiza matakwa yako, ee Mungu wangu ni furaha yangu, sheria yako naishika kwa moyo wangu wote!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kuyafanya, uyatakayo wewe, Mungu wangu, kunanipendeza, nayo Maonyo yako yamo ndani moyoni mwangu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu; Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu nikasema: “Ninakuja. Katika kitabu imeandikwa juu yangu.