Psalms 40:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimesimulia habari njema za ukombozi, mbele ya kusanyiko kubwa la watu. Kama ujuavyo ee Mwenyezi-Mungu, mimi sikujizuia kuitangaza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimehubiri haki katika kusanyiko kubwa, sikufunga mdomo wangu, Ee Mwenyezi Mungu, kama ujuavyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimehubiri habari za haki katika kusanyiko kubwa. Sikuizuia midomo yangu; Ee Bwana, unajua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimesimulia habari njema za ukombozi, mbele ya kusanyiko kubwa la watu. Kama ujuavyo ee Mwenyezi-Mungu, mimi sikujizuia kuitangaza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimehubiri haki katika kusanyiko kubwa, sikufunga mdomo wangu, Ee BWANA, kama ujuavyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimehubiri haki katika kusanyiko kubwa, sikufunga mdomo wangu, Ee bwana, kama ujuavyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimehubiri habari za haki katika kusanyiko kubwa. Sikuizuia midomo yangu; Ee BWANA, unajua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimesimulia habari njema za ukombozi, mbele ya kusanyiko kubwa la watu. Kama ujuavyo ee Mwenyezi-Mungu, mimi sikujizuia kuitangaza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nikatangaza yaongokayo, wengi walipokusanyika; itazame midomo yangu, sikuifunga, wewe ulio Bwana unavijua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimehubiri habari za haki katika kusanyiko kubwa. Sikuizuia midomo yangu; Ee BWANA, unajua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninataka kutimiza mapenzi yako, ee Mungu wangu; sheria yako ninaishika kwa moyo wangu wote!”