Psalms 41:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) Heri mtu anayewajali maskini; Mwenyezi-Mungu atamwokoa wakati wa shida.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri mtu yule anayemjali mnyonge, Mwenyezi Mungu atamwokoa wakati wa shida.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri amkumbukaye mnyonge; Bwana atamwokoa siku ya taabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri mtu anayewajali maskini; Mwenyezi-Mungu atamwokoa wakati wa shida.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi) Heri mtu yule anayemjali mnyonge, BWANA atamwokoa wakati wa shida.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri mtu yule anayemjali mnyonge, bwana atamwokoa wakati wa shida.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri amkumbukaye mnyonge; BWANA atamwokoa siku ya taabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri mtu anayewajali maskini; Mwenyezi-Mungu atamwokoa wakati wa shida.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye shangwe ni mtu atunzaye mnyonge. Naye atakapopatwa na kibaya, Bwana atamwokoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri amkumbukaye mnyonge; BWANA atamwokoa siku ya taabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi ya Daudi.