Psalms 41:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, unionee huruma! Unipe nafuu, nami nitawalipiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wewe, Ee Mwenyezi Mungu, nihurumie, ukaniinue tena, ili niweze kuwalipiza kisasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Wewe, Bwana, unifadhili, Uniinue nipate kuwalipa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, unionee huruma! Unipe nafuu, nami nitawalipiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wewe, Ee BWANA, unihurumie, ukaniinue tena, ili niweze kuwalipiza kisasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wewe, Ee bwana, nihurumie, ukaniinue tena, ili niweze kuwalipiza kisasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Wewe, BWANA, unifadhili, Uniinue nipate kuwalipa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, unionee huruma! Unipe nafuu, nami nitawalipiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wewe Bwana, nihurumie na kuniinua, nipate kuwalipiza!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Wewe, BWANA, unifadhili, Uniinue nipate kuwalipa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata rafiki yangu wa moyo niliyemwamini, rafiki aliyechangia chakula nami, amegeuka kunishambulia!