Psalms 41:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo nitajua kwamba unapendezwa nami, maadui zangu wasipopata fahari juu yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Najua kwamba wapendezwa nami, kwa kuwa adui yangu hanishindi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa neno hili nimejua ya kuwa wapendezwa nami, Kwa kuwa adui yangu hasimangi kwa kunishinda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo nitajua kwamba unapendezwa nami, maadui zangu wasipopata fahari juu yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Najua kwamba wapendezwa nami, kwa kuwa adui yangu hanishindi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Najua kwamba wapendezwa nami, kwa kuwa adui yangu hanishindi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa neno hili nimejua ya kuwa wapendezwa nami, Kwa kuwa adui yangu hajivunii kunishinda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo nitajua kwamba unapendezwa nami, maadui zangu wasipopata fahari juu yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo ndipo, nitakapotambua, ya kuwa umependezwa nami, adui yangu asipoweza tena kunipigia yowe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa neno hili nimejua ya kuwa wapendezwa nami, Kwa kuwa adui yangu hasimangi kwa kunishinda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, unionee huruma! Uniponyeshe, nami nitawalipiza kisasi.