Psalms 41:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe umenitegemeza kwani natenda mema; waniweka mbele yako milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika uadilifu wangu unanitegemeza na kuniweka kwenye uwepo wako milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami katika ukamilifu wangu umenitegemeza, Umeniweka mbele za uso wako milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe umenitegemeza kwani natenda mema; waniweka mbele yako milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika uadilifu wangu unanitegemeza na kuniweka kwenye uwepo wako milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika uadilifu wangu unanitegemeza na kuniweka kwenye uwepo wako milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami katika ukamilifu wangu umenitegemeza, Umeniweka mbele za uso wako milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe umenitegemeza kwani natenda mema; waniweka mbele yako milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hivyo, mimi ninavyokucha kwa moyo wote, unanishikiza, ukanipa kusimama usoni pako kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami katika ukamilifu wangu umenitegemeza, Umeniweka mbele za uso wako milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo nitajua kwamba unapendezwa nami, waadui zangu wasipopata ushindi juu yangu.