Psalms 41:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asifiwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, tangu milele na hata milele! Amina! Amina!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtukuzeni Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, tangu milele na hata milele. Amen na Amen.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli, Tangu milele hata milele. Amina na Amina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asifiwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, tangu milele na hata milele! Amina! Amina!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni BWANA, Mungu wa Israeli, tangu milele na hata milele. Amen na Amen.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni bwana, Mungu wa Israeli, tangu milele na hata milele. Amen na Amen.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na atukuzwe BWANA, Mungu wa Israeli, Tangu milele hata milele. Amina na Amina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asifiwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, tangu milele na hata milele! Amina! Amina!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu wa Isiraeli, na atukuzwe kama huko kale, vivyo nazo siku zitakazokuwa kale na kale! Amin. Amin.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na atukuzwe BWANA, Mungu wa Israeli, Tangu milele hata milele. Amina na Amina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe unaniimarisha katika ukamilifu; utanichunga mbele yako milele.