Psalms 41:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu atamsaidia awapo mgonjwa, atamponya maradhi yake yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu atamtegemeza akiwa mgonjwa kitandani, na atamwinua kutoka kitandani mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana atamtegemeza alipo mgonjwa kitandani. Katika ugonjwa wake umemtandikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu atamsaidia awapo mgonjwa, atamponya maradhi yake yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA atamtegemeza awapo mgonjwa kitandani, atamwinua kutoka kitandani mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana atamtegemeza awapo mgonjwa kitandani, atamwinua kutoka kitandani mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA atamtegemeza alipo mgonjwa kitandani. Katika ugonjwa wake unamponya maradhi yake yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu atamsaidia awapo mgonjwa, atamponya maradhi yake yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akilala kitandani kwa kuugua, Bwana atamshikiza, amwuguze na kumtandikia vema katika ugonjwa wake wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA atamtegemeza alipo mgonjwa kitandani. Katika ugonjwa wake umemtandikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe atamulinda na kuchunga uzima wake, naye atafanikiwa katika inchi; hatamwacha katika makucha ya waadui zake.