Psalms 41:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Madui zangu husema vibaya juu yangu: “Atakufa lini na jina lake litoweke!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adui zangu wanasema kwa hila, “Lini atakufa, na jina lake litokomee kabisa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Adui zangu wananitaja kwa maneno mabaya, Atakufa lini, jina lake likapotea?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Madui zangu husema vibaya juu yangu: “Atakufa lini na jina lake litoweke!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adui zangu wanasema kwa hila, “Lini atakufa na jina lake litokomee kabisa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adui zangu wanasema kwa hila, “Lini atakufa, na jina lake litokomee kabisa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Adui zangu wananitaja kwa maneno mabaya, Atakufa lini, jina lake lipotee?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Madui zangu husema vibaya juu yangu: “Atakufa lini na jina lake litoweke!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Adui zangu wananisema vibaya kwa kwamba: Itakuwa lini, atakapokufa, jina lake liangamie?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Adui zangu wananitaja kwa maneno mabaya, Atakufa lini, jina lake likapotea?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami nilisema: “Unirehemu, ee Yawe, uniponyeshe, maana nimekukosea.”