Psalms 41:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanitembeleapo husema maneno matupu; wanakusanya mabaya juu yangu, na wafikapo nje huwatangazia wengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila anapokuja mtu kunitazama, huzungumza uongo, huku moyo wake ukikusanya masingizio; kisha huondoka na kuyasambaza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mmoja wao akija kunitazama asema uongo, Moyo wake hujikusanyia maovu, Naye atokapo nje huyanena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanitembeleapo husema maneno matupu; wanakusanya mabaya juu yangu, na wafikapo nje huwatangazia wengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila anapokuja mtu kunitazama, huzungumza uongo, huku moyo wake hukusanya masingizio; kisha huondoka na kuyasambaza huko na huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila anapokuja mtu kunitazama, huzungumza uongo, huku moyo wake hukusanya masingizio; kisha huondoka na kuyasambaza huku na huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mmoja wao akija kunitazama asema uongo, Moyo wake hujikusanyia maovu, Naye atokapo nje huyanena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanitembeleapo husema maneno matupu; wanakusanya mabaya juu yangu, na wafikapo nje huwatangazia wengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama mtu anakuja kunikagua, hujisemea ovyo tu, lakini moyo wake huokota ayaonayo kuwa mapotovu, kisha anatoka nje, ayasema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mmoja wao akija kunitazama asema uongo, Moyo wake hujikusanyia maovu, Naye atokapo nje huyanena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waadui zangu wanasema hivi vibaya juu yangu: “Atakufa wakati gani kusudi jina lake lisahauliwe!”