Psalms 41:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote wanichukiao hunongonezana juu yangu; wananiwazia mabaya ya kunidhuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adui zangu wote hunong’onezana dhidi yangu, hao huniwazia mabaya sana, wakisema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wote wanaonichukia wananinong'ona, Wananiwazia mabaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote wanichukiao hunong'onezana juu yangu; wananiwazia mabaya ya kunidhuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adui zangu wote hunong'onezana dhidi yangu, hao huniwazia mabaya sana, wakisema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adui zangu wote hunong’onezana dhidi yangu, hao huniwazia mabaya sana, wakisema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wote wanaonichukia wananong'onezana juu yangu, Wananiwazia yaliyo mabaya zaidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote wanichukiao hunongonezana juu yangu; wananiwazia mabaya ya kunidhuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote wanichukiao hunong'onezana pamoja, watakayonifanyizia, ni mabaya tu, wanayoniwazia kwa kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wote wanaonichukia wananinong’ona, Wananiwazia mabaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wananitembelea bila kuwa na nia njema, wanawaza mabaya juu yangu, wanapofika inje wanawatangazia wengine.