Psalms 41:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Husema: “Maradhi haya yatamuua; hatatoka tena kitandani mwake!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ugonjwa mbaya sana umempata, kamwe hatainuka tena kitandani mwake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno la kisirani limemgandama, Na iwapo amelala hatasimama tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Husema: “Maradhi haya yatamuua; hatatoka tena kitandani mwake!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ugonjwa mbaya sana umempata, kamwe hatainuka tena kitandani mwake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ugonjwa mbaya sana umempata, kamwe hatainuka tena kitandani mwake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanafikiri pigo liualo limemshika, Akalala asiweze kusimama tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Husema: “Maradhi haya yatamuua; hatatoka tena kitandani mwake!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jambo lisilopona limemkaza, hivyo, anavyolala, hatainuka tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno la kisirani limemgandama, Na iwapo amelala hatasimama tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote wanaonichukia wananongoneza juu yangu; wananiwazia mambo mabaya.