Psalms 41:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata rafiki yangu wa moyoni niliyemwamini, rafiki ambaye alishiriki chakula changu, amegeuka kunishambulia!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata rafiki yangu wa karibu niliyemwamini, yule aliyekula chakula changu ameniinulia kisigino chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msiri wangu tena niliyemtumaini, Aliyekula chakula changu, Ameniinulia kisigino chake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata rafiki yangu wa moyoni niliyemwamini, rafiki ambaye alishiriki chakula changu, amegeuka kunishambulia!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata rafiki yangu wa karibu, niliyemwamini, yule aliyekula chakula changu ameniinulia kisigino chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata rafiki yangu wa karibu niliyemwamini, yule aliyekula chakula changu ameniinulia kisigino chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata rafiki yangu mwandani niliyemtumaini, Aliyekula pamoja nami, Ameniinulia kisigino chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata rafiki yangu wa moyoni niliyemwamini, rafiki ambaye alishiriki chakula changu, amegeuka kunishambulia!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata mwenzangu wa uchale, niliyemwegemea kwa moyo, naye anayeula mkate wangu, hunipiga mateke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msiri wangu tena niliyemtumaini, Aliyekula chakula changu, Ameniinulia kisigino chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanasema: “Magonjwa haya yatamwua; hatatoka tena ndani ya kitanda chake!”