Psalms 42:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Utenzi wa Wakorahi) Kama paa atamanivyo maji ya kijito, ndivyo ninavyokutamani, ee Mungu wangu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama ayala anavyoonea shauku vijito vya maji, ndivyo nafsi yangu inavyokuonea shauku, Ee Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama ayala aioneavyo shauku mito ya maji. Vivyo hivyo nafsi yangu inakuonea shauku, Ee Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama paa atamanivyo maji ya kijito, ndivyo ninavyokutamani, ee Mungu wangu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Utenzi Wa Wana Wa Kora) Kama vile paa aoneavyo shauku vijito vya maji, ndivyo nafsi yangu ikuoneavyo shauku, Ee Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama vile ayala aoneavyo shauku vijito vya maji, ndivyo nafsi yangu ikuoneavyo shauku, Ee Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama ayala aioneavyo shauku mito ya maji. Vivyo hivyo nafsi yangu inakuonea shauku, Ee Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama paa atamanivyo maji ya kijito, ndivyo ninavyokutamani, ee Mungu wangu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Kama kuro anavyolilia maji ya mtoni, ndivyo, roho yangu inavyokulilia wewe, Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama ayala aioneavyo shauku mito ya maji. Vivyo hivyo nafsi yangu inakuonea shauku, Ee Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Mashairi ya Wakora.