Psalms 42:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimepondwa kwa matukano yao, wanaponiuliza kila siku: “Yuko wapi, Mungu wako!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mifupa yangu inateseka kwa maumivu makali adui zangu wanaponidhihaki, wakiniambia mchana kutwa, “Yuko wapi Mungu wako?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watesi wangu hunitukana mithili ya kuniponda mifupa yangu, Pindi wanaponiambia mchana kutwa, Yuko wapi Mungu wako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimepondwa kwa matukano yao, wanaponiuliza kila siku: “Yuko wapi, Mungu wako!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mifupa yangu inateseka kwa maumivu makali adui zangu wanaponidhihaki, wakiniambia mchana kutwa, “Yuko wapi Mungu wako?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mifupa yangu inateseka kwa maumivu makali adui zangu wanaponidhihaki, wakiniambia mchana kutwa, “Yuko wapi Mungu wako?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watesi wangu hunitukana mithili ya kuniponda mifupa yangu, Pindi wanaponiambia mchana kutwa, Yuko wapi Mungu wako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimepondwa kwa matukano yao, wanaponiuliza kila siku: “Yuko wapi, Mungu wako!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mifupa yangu inakuwa imepondeka sana, wanisongao wakinitukana, wakiniambia kila siku: Mungu wako yuko wapi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watesi wangu hunitukana mithili ya kuniponda mifupa yangu, Pindi wanaponiambia mchana kutwa, Yuko wapi Mungu wako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninamwambia Mungu, yeye kikingio changu: “Kwa nini umenisahau? Kwa nini niende huko na huko nikiomboleza kwa kuteswa na adui yangu?”