Psalms 42:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naona kiu ya Mungu, kiu ya Mungu aliye hai. Nitafika lini kwake na kuuona uso wake?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nafsi yangu inamwonea Mungu kiu, Mungu aliye hai. Ni lini nitaweza kwenda kukutana na Mungu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nafsi yangu inamwonea kiu MUNGU, Mungu aliye hai, Lini nitakapokuja nionekane mbele za Mungu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naona kiu ya Mungu, kiu ya Mungu aliye hai. Nitafika lini kwake na kuuona uso wake?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nafsi yangu inamwonea Mungu kiu, Mungu aliye hai. Ni lini nitaweza kwenda kukutana na Mungu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nafsi yangu inamwonea Mungu kiu, Mungu aliye hai. Ni lini nitaweza kwenda kukutana na Mungu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nafsi yangu inamwonea kiu MUNGU, Mungu aliye hai, Lini nitakapokuja nionekane mbele za Mungu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naona kiu ya Mungu, kiu ya Mungu aliye hai. Nitafika lini kwake na kuuona uso wake?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho yangu ina kiu ya kunywea kwake Mungu, kwake yeye aliye Mungu Mwenye uzima. Itakuwa lini, nitakapoonekana usoni pake Mungu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nafsi yangu inamwonea kiu MUNGU, Mungu aliye hai, Lini nitakapokuja nionekane mbele za Mungu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama pongo anavyotamani maji ya kijito, ndivyo ninavyokutamani, ee Mungu wangu!