Psalms 42:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Machozi yamekuwa chakula changu mchana na usiku, waliponiambia kila siku: “Yuko wapi Mungu Wako!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Machozi yangu yamekuwa chakula changu usiku na mchana, huku watu wakiniambia mchana kutwa, “Yuko wapi Mungu wako?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Machozi yangu yamekuwa chakula changu mchana na usiku, Pindi wanaponiambia mchana kutwa, Yuko wapi Mungu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Machozi yamekuwa chakula changu mchana na usiku, waliponiambia kila siku: “Yuko wapi Mungu Wako!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Machozi yangu yamekuwa chakula changu mchana na usiku, huku watu wakiniambia mchana kutwa, “Yuko wapi Mungu wako?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Machozi yangu yamekuwa chakula changu usiku na mchana, huku watu wakiniambia mchana kutwa, “Yuko wapi Mungu wako?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Machozi yangu yamekuwa chakula changu mchana na usiku, Pindi wanaponiambia mchana kutwa, Yuko wapi Mungu wako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Machozi yamekuwa chakula changu mchana na usiku, waliponiambia kila siku: “Yuko wapi Mungu Wako!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Machozi yangu ndio chakula changu mchana na usiku, maana watu huniambia kila siku: Mungu wako yuko wapi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Machozi yangu yamekuwa chakula changu mchana na usiku, Pindi wanaponiambia mchana kutwa, Yuko wapi Mungu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninasikia kiu ya Mungu, kiu ya Mungu Mwenye Uzima. Nitafika kwake wakati gani na kuuona uso wake?