Psalms 42:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimeporomoshewa mafuriko ya maji mafuriko ya maji yaja karibu nayo yaita maporomoko mapya. Mawimbi na mapigo yako yamenikumba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kilindi huita kilindi, katika ngurumo za maporomoko ya maji yako; mawimbi yako yote pamoja na viwimbi vimepita juu yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kilindi chapigia kelele kilindi kwa sauti ya maboromoko ya maji yako, Gharika zako zote na mawimbi yako yote yamepita juu yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimeporomoshewa mafuriko ya maji mafuriko ya maji yaja karibu nayo yaita maporomoko mapya. Mawimbi na mapigo yako yamenikumba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kilindi huita kilindi, katika ngurumo za maporomoko ya maji yako; mawimbi yako yote pamoja na viwimbi vimepita juu yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kilindi huita kilindi, katika ngurumo za maporomoko ya maji yako; mawimbi yako yote pamoja na viwimbi vimepita juu yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kilindi chapigia kelele kilindi kwa sauti ya maporomoko ya maji yako, Gharika zako zote na mawimbi yako yote yamepita juu yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimeporomoshewa mafuriko ya maji mafuriko ya maji yaja karibu nayo yaita maporomoko mapya. Mawimbi na mapigo yako yamenikumba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maanguko yako ya maji yakinguruma, vilindi vinaitana, kisha mafuriko na mawimbi yako yote huja kunifunika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kilindi chapigia kelele kilindi kwa sauti ya maboromoko ya maji yako, Gharika zako zote na mawimbi yako yote yamepita juu yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Roho yangu imeregea kabisa, kwa hiyo ninakukumbuka wewe, ee Mungu, kutoka katika eneo la Yordani, kutoka mulima Hermoni na Mizari.