Psalms 42:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu atanijalia fadhili zake mchana; nami nimwimbie wimbo wa sifa usiku, nimwombe Mungu anipaye uhai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huelekeza upendo wake mchana, wimbo wake uko nami usiku: maombi kwa Mungu wa uzima wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mchana Bwana ataagiza fadhili zake, na usiku wimbo wake utakuwa nami, Naam, maombi kwa Mungu aliye uhai wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu atanijalia fadhili zake mchana; nami nimwimbie wimbo wa sifa usiku, nimwombe Mungu anipaye uhai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mchana BWANA huelekeza upendo wake, usiku wimbo wake uko nami: maombi kwa Mungu wa uzima wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mchana bwana huelekeza upendo wake, usiku wimbo wake uko nami: maombi kwa Mungu wa uzima wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mchana BWANA ataagiza fadhili zake, na usiku wimbo wake utakuwa nami, Naam, maombi kwa Mungu aliye uhai wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu atanijalia fadhili zake mchana; nami nimwimbie wimbo wa sifa usiku, nimwombe Mungu anipaye uhai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mchana Bwana na aniagizie upole wake, usiku nipate kumwimbia na kumwomba Mungu anipaye uzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mchana BWANA ataagiza fadhili zake, na usiku wimbo wake utakuwa nami, Naam, maombi kwa Mungu aliye uhai wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mafuriko juu ya mafuriko yananguruma, mawimbi na zoruba yako vinanifunika.