Psalms 42:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Namwambia Mungu, mwamba wangu: “Kwa nini umenisahau? Yanini niende huko na huko nikiomboleza kwa kudhulumiwa na adui yangu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninamwambia Mungu Mwamba wangu, “Kwa nini umenisahau? Kwa nini niendelee kuomboleza, nikiteswa na adui?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitamwambia Mungu, mwamba wangu, Kwa nini umenisahau? Kwa nini ninakwenda nikihuzunika, adui wakinionea?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Namwambia Mungu, mwamba wangu: “Kwa nini umenisahau? Yanini niende huko na huko nikiomboleza kwa kudhulumiwa na adui yangu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninamwambia Mungu Mwamba wangu, “Kwa nini umenisahau? Kwa nini niendelee kuomboleza, nikiwa nimeonewa na adui?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninamwambia Mungu Mwamba wangu, “Kwa nini umenisahau? Kwa nini niendelee kuomboleza, nikiwa nimeonewa na adui?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitamwambia Mungu, mwamba wangu, Kwa nini umenisahau? Kwa nini ninakwenda nikihuzunika, adui wakinionea?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Namwambia Mungu, mwamba wangu: “Kwa nini umenisahau? Yanini niende huko na huko nikiomboleza kwa kudhulumiwa na adui yangu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitamwambia Mungu aliyemwamba wangu: Mbona umenisahau? Mbona sina budi kwenda na kusikitika, adui anaponisonga?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitamwambia Mungu, mwamba wangu, Kwa nini umenisahau? Kwa nini ninakwenda nikihuzunika, adui wakinionea?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe atanijalia wema wake muchana; nami nitamwimbia wimbo wa sifa usiku, nitamwomba Mungu anayenipa uzima.