Psalms 43:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya 42 yaendelea) Onesha kuwa sina hatia ee Mungu; utetee kisa changu dhidi ya watu wabaya; uniokoe na watu waongo na waovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu unihukumu, nitetee dhidi ya taifa lisilomcha Mungu, niokoe na watu wadanganyifu na waovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, unihukumu, unitetee kwa taifa lisilo haki, Uniokoe na mtu wa hila asiye haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Onesha kuwa sina hatia ee Mungu; utetee kisa changu dhidi ya watu wabaya; uniokoe na watu waongo na waovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu unihukumu, nitetee dhidi ya taifa lisilomcha Mungu, niokoe na watu wadanganyifu na waovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu unihukumu, nitetee dhidi ya taifa lisilomcha Mungu, niokoe na watu wadanganyifu na waovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Bwana, unihukumu, unitetee kwa taifa lisilo haki, Uniokoe kutoka kwa mtu wa hila asiye haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Onesha kuwa sina hatia ee Mungu; utetee kisa changu dhidi ya watu wabaya; uniokoe na watu waongo na waovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niamulie, Mungu, ukinigombea kondo yangu kwao wasionipenda! Niopoe mikononi mwao wenye uwongo namo mwao wapotovu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Bwana, unihukumu, unitetee kwa taifa lisilo haki, Uniokoe na mtu wa hila asiye haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unipatie haki yangu, ee Mungu; uyatetee maneno yangu mbele ya watu wabaya; uniokoe na watu waongo na waovu.