Psalms 43:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakimbilia usalama kwako ee Mungu; kwa nini umenitupilia mbali? Yanini niende huko na huko nikiomboleza kwa kudhulumiwa na adui yangu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe ni Mungu ngome yangu. Kwa nini umenikataa? Kwa nini niendelee kuomboleza, nikidhulumiwa na adui?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Wewe ndiwe Mungu uliye nguvu zangu; kwa nini umenitupa? Kwa nini ninakwenda nikihuzunika, adui wakinionea?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakimbilia usalama kwako ee Mungu; kwa nini umenitupilia mbali? Yanini niende huko na huko nikiomboleza kwa kudhulumiwa na adui yangu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe ni Mungu ngome yangu. Kwa nini umenikataa? Kwa nini niendelee kuomboleza, nikiwa nimeonewa na adui?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe ni Mungu ngome yangu. Kwa nini umenikataa? Kwa nini niendelee kuomboleza, nikiwa nimeonewa na adui?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa Wewe ndiwe Mungu uliye nguvu zangu; kwa nini umenitupa? Kwa nini ninakwenda nikihuzunika, adui wakinionea?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakimbilia usalama kwako ee Mungu; kwa nini umenitupilia mbali? Yanini niende huko na huko nikiomboleza kwa kudhulumiwa na adui yangu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wewe Mungu uliye nguvu yangu, mbona umenitupa? Mbona sina budi kwenda na kusikitika, adui anaponisonga?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa Wewe ndiwe Mungu uliye nguvu zangu; kwa nini umenitupa? Kwa nini ninakwenda nikihuzunika, adui wakinionea?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakimbilia kwako, ee Mungu; kwa nini umenitupilia mbali? Kwa nini niende huko na huko nikiomboleza kwa kuteswa na adui yangu?