Psalms 43:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upeleke mwanga na ukweli wako viniongoze, vinipeleke kwenye mlima wako mtakatifu, kwenye makao yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tuma hima nuru yako na kweli yako viniongoze; na vinilete hadi mlima wako mtakatifu, mahali unapoishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Niletewe nuru yako na kweli yako ziniongoze, Zinifikishe kwenye mlima wako mtakatifu na hata maskani yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upeleke mwanga na ukweli wako viniongoze, vinipeleke kwenye mlima wako mtakatifu, kwenye makao yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tuma hima nuru yako na kweli yako na viniongoze; vinilete mpaka mlima wako mtakatifu, mpaka mahali unapoishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tuma hima nuru yako na kweli yako na viniongoze; vinilete mpaka mlima wako mtakatifu, mpaka mahali unapoishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitumie nuru yako na kweli yako ziniongoze, Zinifikishe kwenye mlima wako mtakatifu na hata katika maskani yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upeleke mwanga na ukweli wako viniongoze, vinipeleke kwenye mlima wako mtakatifu, kwenye makao yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tuma mwanga wako na kweli yako, ije kuniongoza na kunipeleka kwenye mlima wako mtakatifu, Kao lako liliko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Niletewe nuru yako na kweli yako ziniongoze, Zinifikishe kwenye mlima wako mtakatifu na hata maskani yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utumie mwangaza na ukweli wako viniongoze, vinipeleke kwenye mulima wako mutakatifu, kwenye makao yako.