Psalms 44:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umetufanya tuwakimbie maadui zetu, nao wakaziteka nyara mali zetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umetufanya tukimbie mbele ya adui, nao watesi wetu wametuteka nyara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waturudisha nyuma tukampa mtesi kisogo, Na watuchukiao wanajipatia mateka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umetufanya tuwakimbie maadui zetu, nao wakaziteka nyara mali zetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umetufanya turudi nyuma mbele ya adui, nao watesi wetu wametuteka nyara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umetufanya turudi nyuma mbele ya adui, nao watesi wetu wametuteka nyara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waturudisha nyuma tukampa mtesi kisogo, Na watuchukiao wanajipatia mateka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umetufanya tuwakimbie maadui zetu, nao wakaziteka nyara mali zetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukaturudisha nyuma mbele yao watusongao, nao watuchukiao wakajipatia mateka;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waturudisha nyuma tukampa mtesi kisogo, Na watuchukiao wanajipatia mateka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sasa umetuacha na kutufezehesha; hauendi tena na makundi yetu ya waaskari.