Psalms 44:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umetufanya kama kondoo wanaopelekwa kuchinjwa; umetutawanya kati ya mataifa mengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umetuacha tutafunwe kama kondoo na umetutawanya katika mataifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umetutoa kama kondoo tuwe chakula, Na kututawanya kati ya mataifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umetufanya kama kondoo wanaopelekwa kuchinjwa; umetutawanya kati ya mataifa mengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umetuacha tutafunwe kama kondoo na umetutawanya katika mataifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umetuacha tutafunwe kama kondoo na umetutawanya katika mataifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umetutoa kama kondoo tuwe chakula, Na kututawanya kati ya mataifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umetufanya kama kondoo wanaopelekwa kuchinjwa; umetutawanya kati ya mataifa mengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ukatutoa, kama tu kondoo, tuwe chakula, ukatutawanya kwao walio wamizimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umetutoa kama kondoo tuwe chakula, Na kututawanya kati ya mataifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umetufanya tuwakimbie waadui zetu, nao wakanyanganya mali zetu.